Mpanda FM

Wananchi Katavi Kunufaika na Elimu ya Ujasiriamali

16 August 2023, 7:16 am

Wananchi Mkoani Katavi waanza kunufaika na mafunzo ya Ujasiriamali yanayoendeshwa na Mpanda Radio FM kwa kushirikiana na Mkwawa Vocational Training Center, Mafunzo hayo yatatolewa Kwa siku tatu kuanzia August 15 Hadi August 17.

#mpandaradiofm.97.0