Mpanda FM

Wahitimu wa mafunzo ya udereva mkoani  Katavi  watakiwa kufuata sheria  za bara barani

12 September 2023, 9:49 am

John Shindika Askari wa usalama barabarani kutoka kitengo cha elimu mkoa wa Katavi akitoa mafunzo ya udereva.

Tumieni vyema mafunzo mliopatiwa mkiwa darasani

Na John Benjamini -Mpanda

Wahitimu wa mafunzo ya udereva wa vyombo vya moto mkoani  Katavi  wametakiwa kufuata sheria na kanuni  za bara barani ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika.

 Hayo Yamebainishwa  na mratibu mwandamizi jeshi la polisi mkoa wa Katavi Leopard Fungwa ambaye ni mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Katavi akizungumza na wahitimu wa  mafunzo ya awali katika chuo Cha makongolo international driving school ambapo amewataka kuhakikisha wanaotumia vyema mafunzo waliopatiwa wakiwa darasani

KWA UNDANI WA HABARI TUUNGANE NA JOHN BENJAMIN