Mpanda FM

Nimonia kwa Watoto Inaepukika

17 July 2023, 10:09 am

MPANDA

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Mpanda Paul Swakala amewashauri wazazi na walezi kuwakinga Watoto na baridi kwa lengo la kuwaepusha na magonjwa yatokanayo na baridi ikiwemo NIMONIA .

Ushauri huo ameutoa wakati akiongea na Mpanda Radio fm ofisini kwake juu ya madhara yatokanayo na hali ya baridi hasa kwa Watoto .

Kwa upande wao baadhi ya wakazi wa manispaa ya Mpanda wamesema njia inayosaidia kuwakinga watoto wasipatwe ma Nimornia ni kuwavalisha watoto mavazi yanayosaidia kuwakinga na hali hiyo na kuwahasa wazazi wenye watoto kufanya hivyo hasa katika kipindi hiki .

#mpandaradiofm97.0

#wizarayaafya

#katavists