Orkonerei FM
Orkonerei FM
23 February 2026, 1:57 pm
Na Dorcas Charles Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Kilimo na Mamlaka ya Udhibiti wa Pembejeo, imetangaza punguzo la asilimia 25 ya gharama za mbegu ili kumpunguzia mzigo mkulima na kuongeza tija katika uzalishaji. Picha ya…
17 February 2026, 2:16 pm
Picha kwa msaada wa mtandao Serikali na wadau wa afya nchini wameendelea kusisitiza umuhimu wa mama wajawazito kujifungulia katika vituo vya afya na zahanati ili kuhakikisha usalama wa mama na mtoto. Na Baraka David Ole Maika Pamoja na juhudi za…
17 February 2026, 2:03 pm
Wazazi na walezi wameaswa kuacha tabia ya kupakia picha za watoto wao kwenye mitandao ya kijamii, kwani hilo ni kosa la jinai linaloweza kuwafunga jela kwa miaka mitatu Na Joyce Elius Hayo yamesemwa Mapema leo kwenye kipindi cha Mchaka Mchaka…
16 February 2026, 2:16 pm
Na Nyangusi Olesang’ida Picha ya Diwani ya Kata ya Kiutu Diwani wa Kata ya Kiutu, Malaki Marambo, amewashukuru wananchi kwa kumuamini tena na kuahidi kuimarisha ushirikiano ili kuchochea maendeleo ya kata hiyo. Kipaumbele chake kikubwa ni uboreshaji wa miundombinu, akipambania…
15 February 2026, 5:46 am
Baraza la Madiwani Simanjiro lamepitisha rasimu ya bajeti ya Sh45.1 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ambapo Sekta za Elimu, Afya, Kilimo, na Mifugo zimepewa kipaumbele. Na Mwandishi Wetu Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara,…
12 February 2026, 3:44 pm
Na Isack Dickson Katika wilaya ya Simanjiro, mabadiliko ya tabianchi yamesababisha vifo vya zaidi ya mifugo 92,000 kwa mwaka mmoja pekee,lakini katikati ya changamoto hiyo, kundi la wanawake mashujaa, kwa msaada wa Baraza la Wanawake Wafugaji (PWC) na mashirika mengine…
5 February 2026, 1:22 pm
Na Nyangusi Olesang’ida Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kimelok, wilayani Arumeru, Bwana Hoshim Saitabau, ametangaza mabadiliko ya mfumo wa ukusanyaji wa michango ya maafa, akieleza kuwa sasa wataacha kutumia nguvu na badala yake watajielekeza kwenye elimu na hiari kwa wananchi. Hoshim…
3 February 2026, 11:49 am
Na Dorcas Charles Wakati CCM ikiazimisha miaka 49 tangu kuasisiwa kwake mwaka 1977, Katibu wa CCM Wilaya ya Simanjiro, Bi. Wambura Igembya, ameelezea mabadiliko makubwa ya kijamii na kiuchumi yaliyopatikana wilayani humo. Katibu amebainisha kuwa tangu kuzaliwa kwa chama hicho,…
31 January 2026, 12:26 pm
Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro imetangaza mikakati mipya inayolenga kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya elimu, huku lengo kuu likiwa ni kupandisha kiwango cha ufaulu kutoka asilimia 66 ya sasa hadi kufikia asilimia 85. Na Isack Dickson Akizungumza katika kikao…
30 January 2026, 11:55 am
Na Nyangusi Olesang’ida Halmashauri ya Wilaya ya Arusha (Arusha DC) imevunja rekodi kwa kutoa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 559 kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vya wanawake, vijana, na watu…
DIRA:
Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari
DHAMIRA:
Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.
Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.
Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”