Highlands FM
92.5 MHz
jacaranda mbeya mjini
0777007503
mbeyahighlandsfm1@gmail.com
https://highlandsfmtanzania.co.tz/
92.5 MHz
jacaranda mbeya mjini
0777007503
mbeyahighlandsfm1@gmail.com
https://highlandsfmtanzania.co.tz/
Kumekuwa na hofu kubwa kwa watanzania juu ya uhaba wa mafuta nchini ,hofu kubwa kupanda kwa bei ya nauli endapo kutakuwa na na uhaba wa mafuta nchini by samweli mpogole Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh Beno Malisa amewatoa hofu…
9 July 2024, 17:17
Na Lameck Charles Highlands Fm Mbeya Wananchi wilayani kyela mkoani mbeya wameipongeza tume ya ushindani (FCC) Kanda ya nyanda za juu kusini kwa kuendelea kuwapa elimu kuhusu haki za mlaji na viashiria vya bidhaa bandia. Wameyasema hayo kwenye maonesho ya…
10 June 2024, 16:33
Na Isack Mwashiuya Highlands Fm Radio Watanzania wametakiwa kuachana na dhana kwamba hitaji la katiba mpya ni kwa maslahi ya chama au kikundi Fulani cha watu wachache sababu inayopelekea kukwama na kuchelewa kwa mchakato huo wa upatikanaji wa katiba itakayoendana…
7 June 2024, 17:03
Na Lameck Charles Highlands Fm Radio Kampuni ya Pareto Tanzania (PCT) imewapa mafunzo mawakala wa kampuni hiyo ikiwa ni maandalizi kabla ya kuanza Rasmi Kwa mavuno Mafunzo hayo yaliyofanyika eneo la Ilembo umalila yamewakutanisha mawakala,wakulima waweze kupata elimu ni maua…
31 May 2024, 17:19
Pareto ni moja kati ya zao la kibiashara ambalo hulimwa mikoa sita tu nchini tanzania, zao hilo ni jamii ya maua hutumika kutengenezea dawa za kuuwa wadudu. Na Lameck Charles Highlands Fm Radio Serikali ya Wilaya ya Mbeya imesema itaendelea…
30 May 2024, 17:27
Na Lameck Charles Highlands Fm Radio Kuelekea siku ya Mazingira Duniani jamii imeaswa kuendelea kutunza Mazingira ili kuepukana na mabadiliko ya tabia nchi yanayoweza kutokea kutokana na Uharibifu wa Mazingira. Rai hiyo imetolewa na Afisa Mazingira Baraza la Taifa la…
30 May 2024, 17:13
Na Lameck Charles Wananchi wa nyanda za juu kusini wametakiwa kuendelea kutoa malalamiko yao wanayokabailiana nayo pale wanapopata huduma zinazohusishwa huduma za nishati na maji. Kauli hiyo imetolewa na Francis Mhina Afisa Huduma kwa wateja (Ewura) nyanda za juu kusini…
30 May 2024, 16:37
Na Pascal Ndambo Wananchi wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wameiomba serikali kutatua changamoto ya maji ambayo wamedai kuwa imedumu kwa muda mrefu na kusababisha adha ya kufuata maji ya visima umbali mrefu ambayo sio safi na salama. Wakizungumza kwa nyakati…
27 May 2024, 18:00
Na Lameck Charles Elimu hiyo inayotolewa kwenye maonesho ya Mbeya Expo 2024 yanayoendelea kufanyika jijini Mbeya imehusisha wafanya Biashara wadogo,wakati na wakubwa Kwa lengo la kunufaika na fursa mbalimbali za Biashara. Dickson Mbanga ni Mkuu wa Kanda ya Nyanda za…
20 May 2024, 17:09
Ufugaji wa nyuki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato cha ziada kwa wakulima wadogowadogo. Uzalishaji wa asali nchini Tanzania umekuwa ukitegemea sana wafugaji wadogowadogo, wanaotumia njia za kiasili kama vile mizinga ya magogo au vyungu, kwa nyuki wa kiafrika ambao…
17 May 2024, 18:21
Watoto wanapitia changamoto nyingi miongoni mwa walezi wao na wanajamii. Kutokana na yale wanayoyapitia pamoja na mazingira duni wanamoishi, watoto wengi hukosa mwelekeo thabiti wa kimaadili hivyo basi kukosa mahitaji yao ya kuwawezesha kuwa na hulka zinazokubalika katika jamii kila…