Highlands FM

Polisi Mbeya mguu kwa mguu kutoa elimu ya ukatili

3 November 2023, 20:50

Kamanda wa polisi Mkoa wa mbeya Benjamin kuzaga akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi Holly land pre and primary school / picha na mwandishi wetu

na mwandishi wetu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwenye shule za msingi,sekondari na vyuo ili kukomesha vitendo hivyo ambavyo vimeanza kushamiri nchini

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga ameongoza Dawati la Jinsia kutoa elimu na miongoni mwa shule ziliozofikiwa ni shule ya Holly Land Pre and Primary School ya mchepuo wa Kiingereza iliyopo Makongolosi Wilaya ya Chunya hapa Kuzaga anaeleza lengo la ziara yake

Kamanda wa polisi Mkoa wa mbeya Benjamin kuzaga akielezea lengo la kuwatembelea wanafunzi shuleni

Naye Mkuu wa Dawati la Jinsia Loveness Mtemi anabainisha baadhi ya vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watoto

Mkuu wa Dawati la jinsia loveness mtemi akitoa elimu Kwa wanafunzi wa Holly land pre and primary School

Donard Mwambebule Sawanga ni Afisa Elimu Mamlaka ya Mji Mdogo Makongolosi amesema elimu ya kijinsia ni ajenda ya kudumu

Afisa elimu mamlaka ya mji mdogo makongolosi Donard Mwambebule sawanga akielezea jinsi wanavyo pambana kutoa elimu Kwa jamii

Malezi bora kwa watoto wa shule ya Holly Land na ushirikiano wa walimu,watumishi na wazazi, umekuwa kichocheo kwa watoto kufanya vizuri kiwilaya,kimkoa na kitaifa mtihani wa darasa la nne.

Mkuu wa Dawati la Jinsia Loveness Mtemi akitoa elimu juu ya ukatili Kwa watoto