11 September 2023, 17:01

DC Mbeya awatoa hofu wananchi uhaba wa mafuta

Kumekuwa na hofu kubwa kwa watanzania juu ya uhaba wa mafuta nchini ,hofu kubwa kupanda kwa bei ya nauli endapo kutakuwa na na uhaba wa mafuta nchini by samweli mpogole Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh Beno Malisa amewatoa hofu…

Play internet radio

Recent posts

9 July 2024, 17:17

Wananchi waipa heko tume ya ushundani {FCC} nyanda za juu kusini

Na Lameck Charles Highlands Fm Mbeya Wananchi  wilayani kyela mkoani mbeya wameipongeza tume ya ushindani (FCC) Kanda ya nyanda za juu kusini kwa kuendelea kuwapa elimu  kuhusu haki za mlaji na viashiria vya   bidhaa bandia. Wameyasema hayo kwenye maonesho ya…

10 June 2024, 16:33

Mchakato kudai katiba mpya ni watanzania sio wa chama fulani

Na Isack Mwashiuya Highlands Fm Radio Watanzania wametakiwa kuachana na dhana kwamba hitaji la katiba mpya ni kwa maslahi ya chama au kikundi Fulani cha watu wachache sababu inayopelekea  kukwama na kuchelewa  kwa mchakato huo wa upatikanaji wa katiba itakayoendana…

7 June 2024, 17:03

PCT yawanoa mawakala kuelekea msimu mpya wa mavuno 

Na Lameck Charles Highlands Fm Radio Kampuni ya Pareto Tanzania (PCT) imewapa mafunzo mawakala wa kampuni hiyo ikiwa ni maandalizi kabla ya kuanza Rasmi Kwa mavuno  Mafunzo hayo yaliyofanyika eneo la Ilembo umalila yamewakutanisha mawakala,wakulima waweze kupata elimu ni maua…

30 May 2024, 17:13

Wananchi watakiwa kutoa malalamiko juu ya huduma za nishati na maji

Na Lameck Charles Wananchi wa nyanda za juu kusini wametakiwa kuendelea kutoa malalamiko yao wanayokabailiana nayo pale wanapopata huduma zinazohusishwa huduma za nishati na maji. Kauli hiyo imetolewa na Francis Mhina Afisa Huduma kwa wateja  (Ewura) nyanda za juu kusini…

30 May 2024, 16:37

Wananchi chunya waomba kutatuliwa changamoto ya maji

Na Pascal Ndambo Wananchi  wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wameiomba serikali kutatua changamoto ya maji ambayo wamedai kuwa imedumu kwa muda mrefu na kusababisha adha ya kufuata maji ya visima umbali mrefu ambayo sio safi na salama. Wakizungumza kwa nyakati…

27 May 2024, 18:00

FCC kula sahani moja na wasambazaji bidhaa bandia

Na Lameck Charles Elimu hiyo inayotolewa kwenye maonesho ya Mbeya Expo 2024 yanayoendelea kufanyika jijini Mbeya  imehusisha wafanya Biashara wadogo,wakati na wakubwa Kwa lengo la kunufaika na fursa mbalimbali za Biashara. Dickson Mbanga ni Mkuu wa Kanda ya Nyanda za…

20 May 2024, 17:09

Wananchi Mbeya watoa maoni kuhusu faida, fursa ya zao la nyuki

Ufugaji wa nyuki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato cha ziada kwa wakulima wadogowadogo. Uzalishaji wa asali nchini Tanzania umekuwa ukitegemea sana wafugaji wadogowadogo, wanaotumia njia za kiasili kama vile mizinga ya magogo au vyungu, kwa nyuki wa kiafrika ambao…

17 May 2024, 18:21

Kamati CST yaja na mipango mikakati kukabiliana na vitendo vya ukatili

Watoto wanapitia changamoto nyingi miongoni mwa walezi wao na wanajamii. Kutokana na yale wanayoyapitia pamoja na mazingira duni wanamoishi, watoto wengi hukosa mwelekeo thabiti wa kimaadili hivyo basi kukosa mahitaji yao ya kuwawezesha kuwa na hulka zinazokubalika katika jamii kila…

About us

Welcome to Mbeya Highlands FM, your premier source for quality radio broadcasting in Tanzania. We are committed to bringing you the best in news, entertainment, and music, and strive to make your listening experience as enjoyable and informative as possible.

Our team of dedicated professionals works tirelessly to produce high-quality content that reflects the interests and needs of our listeners. From breaking news stories and in-depth interviews to the latest music hits and cultural programming, we cover a wide range of topics that are relevant to our community.

At Mbeya Highlands FM, we believe in the power of radio to connect people and foster dialogue. Our programming is designed to reflect the diversity of our community and promote understanding and appreciation of different cultures and perspectives. Whether you’re tuning in for the latest news updates or just looking to relax and enjoy some great music, we’ve got you covered.

Our station is committed to supporting local talent and promoting homegrown artists. We regularly feature interviews and performances by local musicians, and showcase the vibrant arts and culture scene in our region. We also provide a platform for community members to share their views and opinions on important issues affecting our society.

With our state-of-the-art facilities and experienced team of professionals, Mbeya Highlands FM is dedicated to delivering the highest quality radio programming in Tanzania. We are always looking for ways to improve our service and welcome your feedback and suggestions.

Thank you for choosing Mbeya Highlands FM as your go-to source for quality radio broadcasting. We look forward to serving you and keeping you informed and entertained for years to come.