Dodoma FM

Msanii wa kizazi kipya kuwasaidia mabinti walioshindwa kutimiza ndoto zao

9 June 2023, 1:12 pm

Msanii wa kizazi kipya Suleiya Abdi akizungumza na mwandhishi habari kutoka Dodoma Tv Lonard Mwacha.

Na Lonard Mwacha.

Msanii  wa kizazi kipya kutoka Dodoma  Suleiya Abdi ameweka wazi dhamira yake ya kuwasaidia mabinti walioshindwa kutimiza ndoto zao kutokana na mimba za utotoni ili waweze kujikwamua kiuchumi.