Dodoma FM

Nagulo Bahi Zahanati bado kizungumkuti

27 April 2021, 6:22 am

Na; Seleman Kodima.

wakazi wa Nagulo Bahi wamelalamikia kukosa huduma ya Afya kijijini hapo hali inayopelekea kutembea umbali mrefu kwenda kutafuta huduma ya Afya.

Wananchi hao wameelezea jinsi walivyo jitahidi kufanya juhudi ili wapate kituo cha Afya kijijini hapo lakini imeshindikana , hali inayopelekea baadhi ya wanawake kujifungulia njiani na wengine kukosa watoto kutokana na kuchelewa kufika hospitali.

Waandishi wetu Selemani Kodima na Afred Bulahiya wanasimulia makala hii.