Dodoma FM

Fahamu matibabu na jinsi ya kujikinga na saratani ya jicho

12 July 2023, 4:28 pm

Dkt Halima Kassim kutoka Hospital ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma.Picha na Yussuph Hassan.

Saratani ya jicho kwa watoto ambapo huanzia miezi kumi na nane na huonekana zaidi kwa watoto chini ya miaka mitano.

Na Yussuph Hassan.

Baada ya kufahamu juu ya utambuzi wa Ugonjwa wa saratani ya jicho kwa watoto ambapo huanzia miezi kumi na nane na huonekana zaidi kwa watoto chini ya miaka mitano.

Leo tunafahamishwa juu ya matibabu na elimu inayotolewa kwa wananchi juu ya ugonjwa huo tukiungana na Dkt Halima Kassim kutoka Hospital ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma.