Dodoma FM

Historia ya bwawa la Hombolo

31 July 2023, 4:53 pm

Picha ni moja aina ya samaki wanaojulikana kama perege wanaopatikana katika bwawa la Hombolo. Picha na Fahari ya Dodoma.

Inasemekana kuwa bwawa hilo la Hombolo lina aina mbalimbali ya samaki wakiwemo dagaa, uduvi, ningu, kambale na perege.

Na Yussuph Hassan.

Bado tunaenedelea kuangazia historia ya bwawa la Hombolo bwawa ambalo linapatikana katika eneo la Hombolo lililopo Jijini Dodoma . Licha ya bwawa hili kuwa msaada kwa wananchi katika shughuli za kilimo na uvuvi lakini wananchi wamekuwa wakilalamika bwawa hilo kujaa tope .

Picha ni Muonekano wa Bwawa la Hombolo katika kijiji cha Hombolo.Picha na Fahari ya Dodoma.