
Michezo

13 November 2023, 11:19 am
Rais Samia atoa ndege kwa Stars
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha timu ya Taifa ya Soka, Taifa Stars kwenda Marrakesh kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa ugenini Novemba 18, mwaka huu, nchini Morocco. Timu…

13 November 2023, 9:24 am
Serengeti safari marathon kuunga mkono royal tour
Mamia ya watanzania wajitokeza kushiriki mbio za Serengeti Safari Marathon kuunga mkono juhudi za Rais Samia za Royal Tour. Na Alex Sayi Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Vicent Naano amesema kuwa mbio za Serengeti Marathon zinaendelea kuunga mkono…

10 November 2023, 17:14
Tumejiandaa vyema kumpokea Dr. Tulia
Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya mjini Ndg Clemence Mwandemba amempongeza Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan Kwa kuwa kiungo hatari mchezeshaji katika Ushindi wa Dr Tulia, pale Nchini Angola ,Dr Samia amepiga asist nyingi Pale IPU na Dr Tulia zote ameweka…

10 November 2023, 10:13 am
Mbunge Kiswaga atimiza ahadi ya kuwapeleka Chamgogo FC bungeni
Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mh Jackson Kiswaga ametimiza Ahadi ya kuwapeleka Mabingwa wa Mashindano yake ya Kiswaga cup 2023 Timu ya Chamgogo Fc kuhudhuria Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chamgogo Fc Wamepata…

8 November 2023, 14:31
Diwani Iyunga agawa jezi sekondari ya Lupeta Mbeya
Wananfunzi wa shule za sekondari mkoani mbeya wametakiwa kusoma kwa bidii na kushika yale yote yanayo fundishwa na walimu wao ili yaweze kuwasaidia. Na Iman Anyigulile Hayo yameelezwa na mh diwani wa kata ya Iyunga Mwajuma Tindwa wakati alipokuwa akikabidhi…

7 November 2023, 6:49 pm
Shabiki wa Yanga Geita kutoa ngo’mbe 5 kwa wachezaji
Kipigo cha Simba kimeendelea kupeleka neema Jangwani baada ya wadau kuanza kujitokeza kutoa zawadi za pongezi. Na Mrisho Sadick – Geita Baada ya Yanga kuifunga Simba goli 5 – 1 shabiki wa Yanga mkoani Geita Hussein Mwananyanzara ameahidi kutoa ng’ombe…

15 October 2023, 7:59 am
Chamgogo Fc mabingwa wa Kiswaga Cup 2023
Bingwa wa mashindano ya Kiswaga Cup ataelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kufanya utalii kwa siku tatu. Na Hafidh Ally Timu ya Chamgogo Fc imeibuka Mabingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kiswaga Cup 2023 yanayodhaminiwa na Mbunge wa…

14 October 2023, 12:05 pm
GGML yatimiza ahadi ya basi jipya kwa klabu ya Geita Gold FC
Changamoto ya usafiri baada ya klabu ya Geita Gold FC kupanda Ligi kuu ya NBC msimu wa 2021/22, umepelekea mdhamini mkuu wa klabu hiyo GGML kuahidi basi litakalowarahisishia kusafiri. Na Zubeda Handrish- Geita Mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine…

17 September 2023, 1:47 pm
Mchezo wa Geita Gold FC na Kagera Sugar kurudiwa leo, wanaanzia walipoishia
Changamoto ya taa katika viwanja vinavyotumika na vilabu vya Ligi kuu ya NBC ni ya pili kutokea, baada ya ile iliyotokea katika Dimba la Benjamin Mkapa linalotumiwa na vigogo wa soko la Tanzania Simba SC na Yanga SC. Na Zubeda…

September 14, 2023, 7:36 pm
Clouds Ndondo Cup kuanza kutimua vumbi Kahama Oktoba Mosi
Mashindano ya Clouds Ndondo Cup yanatarajiwa kufanyika mjini Kahama kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu 2023 na usajili wa timu kushiriki wa timu utafungwa rasmi tarehe 22 Septemba 2023 na upangwaji wa makundi utafanyika Septemba 25, 2023 na kila kundi litakuwa…