Radio Tadio

Michezo

13 November 2023, 11:19 am

Rais Samia atoa ndege kwa Stars

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha timu ya Taifa ya Soka, Taifa Stars kwenda Marrakesh kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa ugenini Novemba 18, mwaka huu, nchini Morocco. Timu…

13 November 2023, 9:24 am

Serengeti safari marathon kuunga mkono royal tour

Mamia ya watanzania wajitokeza kushiriki mbio za Serengeti Safari Marathon kuunga mkono juhudi za Rais Samia za Royal Tour. Na Alex Sayi Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Vicent Naano amesema kuwa mbio za Serengeti Marathon zinaendelea kuunga mkono…

10 November 2023, 17:14

Tumejiandaa vyema kumpokea Dr. Tulia

Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya mjini  Ndg Clemence Mwandemba  amempongeza  Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan  Kwa kuwa kiungo hatari mchezeshaji katika Ushindi wa Dr Tulia, pale Nchini Angola ,Dr Samia amepiga asist nyingi Pale IPU na Dr Tulia zote ameweka…

8 November 2023, 14:31

Diwani Iyunga agawa jezi sekondari ya Lupeta Mbeya

Wananfunzi wa shule za  sekondari mkoani  mbeya wametakiwa  kusoma kwa bidii na kushika yale yote yanayo fundishwa  na walimu wao ili yaweze  kuwasaidia. Na Iman Anyigulile Hayo yameelezwa na mh diwani wa kata ya Iyunga Mwajuma Tindwa wakati alipokuwa akikabidhi…

7 November 2023, 6:49 pm

Shabiki wa Yanga Geita kutoa ngo’mbe 5 kwa wachezaji

Kipigo cha Simba kimeendelea kupeleka neema Jangwani baada ya wadau kuanza kujitokeza kutoa zawadi za pongezi. Na Mrisho Sadick – Geita Baada ya Yanga kuifunga Simba goli 5 – 1 shabiki wa Yanga mkoani Geita Hussein Mwananyanzara ameahidi kutoa ng’ombe…

15 October 2023, 7:59 am

Chamgogo Fc mabingwa wa Kiswaga Cup 2023

Bingwa wa mashindano ya Kiswaga Cup ataelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kufanya utalii kwa siku tatu. Na Hafidh Ally Timu ya Chamgogo Fc imeibuka Mabingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kiswaga Cup 2023 yanayodhaminiwa na Mbunge wa…

September 14, 2023, 7:36 pm

Clouds Ndondo Cup kuanza kutimua vumbi Kahama Oktoba Mosi

Mashindano ya Clouds Ndondo Cup yanatarajiwa kufanyika mjini Kahama kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu 2023 na usajili wa timu kushiriki wa timu utafungwa rasmi tarehe 22 Septemba 2023 na upangwaji wa makundi utafanyika Septemba 25, 2023 na kila kundi litakuwa…