Radio Tadio

Michezo

15 August 2023, 1:55 pm

Washindi Dimbani Cup shangwe tu

Wadau wa soka Mkoani Geita wameendelea kuzipongeza taasisi za umma na binafsi kwa kuendelea kuuthamini mchezo wa mpira wa miguu kwa kuandaa mashindano mbaimbali ambayo yamekuwa chachu kwa kuibua vipaji vya vijana. Na Amon Bebe – Geita Baada ya fainali…

13 August 2023, 12:11 pm

Geita All Stars bingwa Dimbani Cup 2023

Agosti 5, 2023 ligi ya Dimbani Cup ilianza rasmi ikishirikisha timu nane na kuanzia hatua ya mtoano na kukamilishwa na mshindi wakwanza na wapili. Na Zubeda Handrish- Geita Ligi ya Dimbani Cup 2023 inayofanyika chini ya kituo cha redio cha…

10 August 2023, 1:03 pm

Nyankumbu Girls yang’ara kuelekea kuanza kwa ligi kuu

Kufuatia uharibu uliofanyika na watu wasiojulikana katika Dimba la Nyankumbu Girls, ukarabati mkubwa umefanyika kwaajili ya klabu ya Geita Gold FC kuutumia kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC. Na Zubeda Handrish- Geita Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa 2023/24…

9 August 2023, 3:20 pm

Ni Yanga SC au Azam FC kutinga fainali leo?

Darby ya Dar es salaam imeibua hisia za mashabiki wa soka mkoani Geita, na kufunguka timu yenye nafasi zaidi ya kutinga fainali ya Ngao ya Jamii kati ya michezo ya leo. Na Zubeda Handrish- Geita Michuano ya Ngao ya Jamii…

7 August 2023, 6:35 pm

Shamrashamra Simba Day zaendelea Senga

Shamrashamra za kilele cha wiki ya Simba zimeendelea leo kufuatia wanachama Senga kuzindua tawi ikiwa ni muendelezo wa siku ya jana Simba Day. Na Amon Bebe- Geita Leo wanachama wa klabu ya Simba kijiji cha Chanika kata ya Senga, Mkoani…

1 August 2023, 6:46 pm

Geita Gold FC mambo moto maandalizi ya msimu mpya

Geita Gold FC imeweka kambi mkoani Morogoro ikiendelea na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi 2023/24. Na Zubeda Handrish- Geita Mchezo wa kirafiki kati ya Geita Gold FC dhidi ya Kilombero Stars ulioanza majira ya saa 10:00 jion katika Dimba…

28 July 2023, 9:15 am

Mashabiki Geita waviaminia vilabu vya Tanzania CAF

Kwa mara nyingine tena vilabu vya Tanzania vinakwenda kuiwakilisha nchi katika michuano ya CAF kwa upande wa Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho, Je watafika mbali? Na Zubeda Handrish- Geita Droo ya hatua mbili za awali za michuano ya Ligi…

21 July 2023, 4:48 pm

Kaizer Chiefs kucheza na Yanga kesho

Karibu upate habari za michezo kutoka hapa Nchi Tanzani zikisimuliwa kwako na mwana michezo wetu Rabiamen Shoo. Na Rabiamen Shoo. Kikosi cha Kaizer chiefs ‘Amakhosi’ kimetua Tanzania kwa ajili ya Mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga kwenye Kilele cha Wiki…

17 July 2023, 10:51 am

Timu 21 kushiriki ligi daraja la 3 Geita

Kila mwaka mashindano ya Ligi daraja la tatu yanafanyika kwa maandalizi makubwa na matarajio ya kuikuza Ligi hiyo mkoani Geita, huku moja ya changamoto ikiwa ni kucheleweshwa kuwasilisha bingwa wa wilaya kwa vilabu. Na Amon Bebe- Geita Ligi Daraja la…