Radio Tadio

Michezo

11 August 2022, 7:31 am

Timu ya Simba SC yaomba radhi hadharani

Klabu ya Simba inaomba radhi kwa waumini wa dini ya Kikristo, viongozi wa madhehebu yote ya Kikristo, Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania na jamii kwa ujumla kwa usumbufu uliojitokeza kwenye tamasha letu la Simba Day Agosti 8 mwaka…

20 May 2022, 7:13 am

Simba SC yatangaza mpango wa ASFC

Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuweka kambi jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ utakaowakutanisha dhidi ya Young Africans Jumamosi (Mei 28), katika Uwanja wa CCM Kirumba. Simba SC imetangaza rasmi…

07/10/2021, 5:53 pm

Serikali mbioni kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana

Na,Glory Paschal Waziri wa Nishati JANUARY MAKAMBA amesema serikali iko katika mchakato wa kuhakikisha inafikisha umeme wauhakika Mkoani Kigoma kwa kuunganisha Mkoa huu na Gridi ya Taifa kutoka vituo vya Nyakanazi na Tabora Mh. MAKAMBA  amesema hayo wakati alipotembelea Kituo…

18 August 2021, 1:30 pm

Ajinyonga kisa wivu wa mapenzi Pangani.

Kijana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Amury Mwin-dadi mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Mikinguni Wilayani Pangani Mkoani Tanga ajinyonga kutokana na wivu wa kimapenzi. Mrakibu wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Pangani…

15 May 2021, 19:43 pm

Tutawapa bima za afya; Kaimu mganga mkuu

Na Karim Faida. Kaimu Mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya Mtwara Dkt Mathayo malaika amesema anashughulikia bima za afya za CHF kwa kaya moja masikini inayopatikana katika kijiji cha Namuhi kata ya Libobe Halmashauri ya wilaya ya Mtwara baada…

23 March 2021, 10:24 am

Udugu na Umoja wadhihirika Zanzibar leo

Na; Mariam Kasawa Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati  Dkt.John Magufuli utalala Ikulu Zanzibar leo Jumanne Machi 23, 2021 na kesho asubuhi utapelekwa Mkoani Mwanza. Hayo yameelezwa leo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokuwa kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar…