Radio Tadio

Michezo

14 July 2023, 11:10 am

Migange aitupia lawama Mashujaa FC

Aliyekuwa kocha wa klabu ya mpira wa miguu ya Mashujaa FC Meja Mstaafu Abdul Migange amelaumu uongozi wa timu hiyo kutokana na kitendo cha kumuacha baada ya kuipandisha Ligi kuu ya Tanzania Bara Na Mussa Nkoningo Kocha aliyeipandisha timu Ya…

11 July 2023, 10:21 pm

Mashabiki wa soka Geita watamba usajili mpya

Dirisha kubwa la usajili limefunguliwa rasmi Julai 1, 2023 kwa ajili ya vilabu nchini kuingiza maingizo mapya yatakayowasaidia katika msimu mpya wa 2023/24, huku mapema vilabu hivyo vikianza usajili na kutangaza hadharani wakati vingine vikisajili kimya kimya. Na Zubeda Handrish…

7 July 2023, 5:09 pm

Timu ya Msolwa Station yaibuka bingwa-Tembo cup

Na Katalina Liombechi Mashindano ya Kilombero Tembo Cup yamemalizika kwa Msimu huu wa Mwaka 2023 baada ya Fainali iliyokutanisha Timu ya Msolwa Station kuibuka na Ushindi wa Mabao 5-4 dhidi ya Mang’ula B ushindi ambao umepatikana kwa Mikwaju ya Penati.…

10 June 2023, 3:29 pm

Mashindano UMISETA yafungwa Katavi

KATAVI Wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani Katavi wametakiwa kuhakikisha wanasimamia michezo na kuzitengea bajeti idara zote za michezo katika maeneo yao. Maagizo hayo yametolewa na katibu tawala wa mkoa wa Katavi Hassan Rugwa wakati akifunga mashindano ya Umoja wa Michezo…

9 June 2023, 7:52 pm

Mafinga washinda tuzo saba mashindano UMISETA

Na Frank Leonard Halmashauri ya mji Mafinga imeshinda vikombe saba kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari (UMISSETA) ngazi ya mkoa. Mashindano hayo yaliyofanyika katika shule ya sekondari ya JJ Mungai ya mjini…

7 June 2023, 4:19 pm

UMISETA wahimizwa nidhamu

Afisa usalama wilaya ya Kongwa Bwana Mwakasendo amesisitiza kuzingatia muda na kuwa wavumilivu kuendana na ulimwengu tulionao kwani muda ni siri ya ushindi. Na Bernadetha Mwakilabi. Wanafunzi 115 wa shule za sekondari wilayani Kongwa wanaoshiriki mashindano ya umoja wa michezo…

30 May 2023, 10:10 am

Wakurugenzi watenge bajeti sekta ya michezo

MPANDA Katibu tawala wa mkoa wa Katavi Hassan Rugwa amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani hapa kuhakikisha wanatenga bajeti ili kuwezesha sekta ya michezo. Akizungumza wakati wa kufungwa kwa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za msingi…