Radio Tadio

Michezo

22 May 2023, 5:53 pm

Mtembezi Marathon kutangaza utalii wa ndani

Akizungumza baada ya kikao hicho mkuu wa wilaya ya Dodoma Mh Jabiri Shekimweri amefafanua malengo ya mbio hizo. Na Alfred Bulahya. Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Dodoma, Mtembezi Adventures, Pamoja na Dodoma Media Group imeandaa mbio maalum (Mtembezi Marathoni)…

17 May 2023, 4:51 pm

TMO yawasilisha rasimu ya ujenzi wa kituo cha michezo Mbande

Kwa mujibu wa viongozi wa Taasisi hiyo  ujenzi wa Kituo hicho utaleta tija kwa wananchi kwani utahusisha maeneo ya vitega uchumi mbalimbali yakiwemo maduka na huduma nyinginezo. Na Alfred Bulahya. Taasisi ya Tembea Kwa Matumaini Organization (TMO) imewasilisha rasimu ya…

4 May 2023, 1:03 pm

Mchezo wa kriketi kuongeza mahudhurio ya wanafunzi

Afisa michezo wilayani Kongwa  amesema wanawajengea uwezo walimu waweze kuwasaidia watoto kumudu vitendo vya mchezo wa kriketi ili kupitia ubora wa timu za shule zao waweze kupata wachezaji wazuri wa kuunda timu za Wilaya  na pia wapate fursa ya kuchaguliwa…

5 April 2023, 12:41 pm

Wazazi Wapeni nafasi watoto kushiriki michezo

Wazazi wametakiwa kutenga muda wa kushiriki katika michezo baada ya masomo na kuwanunulia vifaa vya michezo ili wawe na afya bora. Na Adelphina Kutika Wazazi na  wazazi Manispaa ya Iringa wametakiwa  kuwapa nafasi watoto kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji…

4 March 2023, 5:27 pm

Bado wazazi wana wajibu wa kuibua vipaji vya watoto wao.

KATAVI Baadhi ya wazazi mkoani katavi wamesema wanao wajibu wa kuwapa nafasi watoto kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji walivyo navyo watoto na kuviendeleza ili viweze kuwa msaada kwa maisha ya baadae ya mtoto. Wakizungumza na mpanda redio fm wamesema…

28 February 2023, 4:58 pm

Tanroads Iringa yaicharaza Njombe 5-0

Katika kujenga mahusiano mazuri ya kiutendaji,TANROADS mkoa wa Iringa pamoja na mikoa ya Njombe na Mbeya wamefanya bonanza la michezo. Na Ansigary Kimendo TANROADS mkoa wa Iringa wamefanya bonanza la michezo lililoshirikisha watumishi wa TANROADS kutoka mikoa ya Njombe Mbeya…