Radio Tadio

Michezo

September 14, 2023, 7:36 pm

Clouds Ndondo Cup kuanza kutimua vumbi Kahama Oktoba Mosi

Mashindano ya Clouds Ndondo Cup yanatarajiwa kufanyika mjini Kahama kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu 2023 na usajili wa timu kushiriki wa timu utafungwa rasmi tarehe 22 Septemba 2023 na upangwaji wa makundi utafanyika Septemba 25, 2023 na kila kundi litakuwa…

September 12, 2023, 11:26 am

Mgeja kuhudhuria mechi ya kuipongeza Taifa stars kufuzu Afcon

Khamis Mgeja licha tu ya kuwa mdau mkubwa wa michezo nchini amekuwa na mchango mkubwa katika kuhamasisha michezo nchini hasa kwenye masuala mazima yanagusa maslahi mapana ya wananchi na taifa kwa ujumla ambapo amekuwa akiunga mkono timu mbalimbali kwa michango…

12 September 2023, 06:41

Mkali Wa ‘Draft’ Mufindi Asakwa

Baadhi ya washiriki wakichuana kumpata mshindi wa mchezo wa bao, katika uwanja wa mashujaa uliyo Mafinga mjini. Picha na Kelvin Mickdady Na Kelvin Mickdady -Mafinga. Mashindano ya Bao (Draft) Mufindi Yamefunguliwa Hii Leo katika Uwanja wa Mashujaa kwa hatua za…

9 September 2023, 10:11 pm

Waziri mkuu ahamasisha wananchi kushiriki michezo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wananchi kwenye maeneo mbalimbali nchini washiriki katika michezo kwa kuwa michezo ni ajira, uchumi na huimarisha afya. “Tunapa faida nyingi kwa kufanya michezo, tushiriki katika michezo pamoja na kukimbia riadha kwa kuongeza vipaji tulivyonavyo kwani…

30 August 2023, 10:57 am

Wadau Iringa wainunua timu ya Ruvu Shooting

Na Frank Leonard Klabu ya Lipuli FC ya mjini Iringa inayoshiriki ligi daraja la pili inatarajiwa kurudi ligi daraja la kwanza baada ya wadau wa soka wa mkoani Iringa (hawakutajwa) kuinunua klabu ya Ruvu Shootings ya daraja la kwanza katika…

24 August 2023, 8:30 pm

Geita Gold Queens yakwama, wadau waombwa msaada

Ukata wa kifedha umekuwa changamoto kubwa kwa klabu mpya ya ligi kuu ya wanawake ya Geita Gold Queens ya hapa mkoani Geita, na kumuinua Mwenyekiti wa Chama cha Soka Geita kuwaomba wadau msaada. Na Zubeda Handrish- Geita Klabu ya wanawake…

20 August 2023, 1:09 pm

Viongozi wa timu shiriki Kiswaga cup 2023 wapewa semina

Semina hiyo imelenga kuwapa kanuni na sheria za mashindano ya Kiswaga Cup ili kuepukana na changamoto za kikanuni. Na Hafidh Ally Viongozi wa timu shiriki katika mashindano ya Kiswaga cup 2023 yanayodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mh Jackson…