Dodoma FM

Mila na desturi zatajwa kuwa chanzo cha Mimba za utotoni

23 January 2023, 12:31 pm

Na; Alfred Bulahya.

Licha ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imefanikiwa kupunguza idadi ya mimba kutoka 39 mwaka 2020 hadi 17 kwa mwaka 2022.

kwa Mujibu wa Afisa elimu sekondari wilaya ya Bahi bi Marry Chakupewa, inaelezwa katika mimba za utotoni 39 zilizopatikana wilayani humo kata ya kigwe imeongoza kwa kuwa na mimba za utotoni 11 kwa mwaka 2020.

Hali hiyo imewashtua wadau mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Maendeleo ya vijana Doyodo na hata kufikia uamuzi wa kupeleka mradi wa miaka 2 wa kuboresha afya na ustawi wa mabinti chini ya ufadhili wa DSW Tanzani.

Pamoja na mafanikio hayo nini sababu ya kuwepo kwa mimba za utotoni ndani ya wilaya hiyo?

Afisa maendeleo ya jamii wilayani humo bw, Denis Komba anato ufafanuzi