Dodoma FM

Serikali yatakiwa kuhamasisha vijana kujikita katika kilimo

26 July 2023, 5:42 pm

Miradi ya kilimo imekuwa na kasi kubwa ya kutoa ajira kwa vijana Nchini.Picha na Thadei Tesha

Kartika kupunguza changamoto ya ajira na ugumu wa maisha kwa vijana nchini serikali imeendelea kusisitiza juu ya suala la kilimo biashara kwa kuanzisha programu mbalimbali kwa lengo la kuwawwezesha kujikwamua kiuchumi ikiwa ni katika kuanzisha mashamba ya kilimo pamoja na masoko.

Na Thadei Tesha.

Ili kuwasaidia vijana wengi kunufaika na fursa zinazotokana na kilimo serikali imetakiwa kuendelea kuweka nguvu zaidi ili kuwahamasisha vijana wengi kujihusisha na miradi ya kilimo kwani imekuwa na kasi kubwa ya kutoa ajira kwa vijana.

Dodoma tv imefanya mahojiano maalum na  mkurugenzui wa shirika la VALUES OF YOUTH ENTERPRENUERSHIP AND ECONOMIC GROWTH VYEEG Ndugu Jofrey Sanga ambapo hapa anasema kuwa kupitia shirika hilo wameendelea kutoa elimu na ujuzi kwa lengo la kuwasaidia vijana kujiingiza katika kilimo biashara.

Sauti ya mkurugenzui wa shirika la VALUES OF YOUTH ENTERPRENUERSHIP AND ECONOMIC GROWTH VYEEG
Kartika kupunguza changamoto ya ajira na ugumu wa maisha kwa vijana nchini serikali imeendelea kusisitiza juu ya suala la kilimo biashara.Picha na Thadei Tesha.

Lakini je muamko wa vijana kujiingiza katika fursa hiyo upoje kwa sasa hapa anabainisha.

Sauti ya mkurugenzui wa shirika la VALUES OF YOUTH ENTERPRENUERSHIP AND ECONOMIC GROWTH VYEEG