Dodoma FM
Mazingira rafiki ya elimu yanavyopunguza mimba za utotoni
8 August 2024, 5:01 pm
Mariam Matundu ametembelea katika kata ya Mbabala na kuzungumza na Lilian Masunga mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Mbabala.
Na Mariam Matundu.
Leo tunaangazia namna ambavyo mazingira rafiki ya wasichana kupata elimu yanasaidia kupunguza mimba za utotoni .
Ambapo tumezungumza na Lilian Masunga Mwanafunzi wa kidato cha Nne shule ya sekondari Mbabala anaeleza namna mazingira rafiki yalivyomsaidia na yeye anavyoelimisha wasichana wengine juu ya kujilinda dhidi ya mimba za utotoni.