Dodoma FM

Mimba za utotoni zapungua nchini kwa 5%

7 November 2023, 12:34 pm

Picha ni binti i  aliyepata fistula ya uzazi baada ya kujifungua akiwa na umri wa miaka 16. Picha na UN news.

Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyofanikiwa kupunguza mimba za utotoni kwa kiwango kikubwa .

Na Mariam Matundu.

Ripoti ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria ya mwaka 2022 imeonesha Tanzania imefanikiwa kupunguza mimba za utotoni kutoka 27% mwaka 2015/2016 hadi 22%mwaka 2022.

Mariam Matundu amefanya mazungumzo na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa Dodoma Theresia Mdendemi na ameanza  kumuuliza makoeo hayo ni mafanikio ya kampeniz za kuzungumza na watoto namna ya kujinda na ukatili?