Dodoma FM

DOYODO

31 January 2024, 7:05 am

BMH yafanikiwa kupandikiza Uroto kwa watoto 7

Itakumbukwa kuwa Serikali ya awamu ya sita iliidhinisha Shiling Bilioni 3.6 kwa kuwezesha kutolewa kwa huduma za upandikizaji wa uroto kwa Watoto wenye selimundu huku zikitengwa Shiling Bilioni 1 kwa ajili ya kutoa kwa Watoto bure. Na Yussuph Hassan.Hospital ya…

29 January 2024, 8:00 pm

Kipindupindu chatajwa kuwakumba wanawake zaidi nchini

Kipindupindu unatajwa kuwa ugonjwa hatari ambao huambatana na kuharisha na kutapika huku ikielezwa kuwa ni asilimia 10 tu ya wagonjwa wanaopata kipindupindu na kulazwa hospitali huku wengine wakitembea na vimelea vya ugonjwa huo. Na Mariam Matundu.Wanawake nchini Tanzania wanatajwa kuongoza…

18 January 2024, 8:56 am

Yafahamu madhara ya ugonjwa wa kipindupindu

Yafahamu madhara ya ugonjwa wa Kipindupindu endapo mtu atabainika kuwa na ugonjwa huo. Na Yussuph Hassan.Tukiwa katika muendelezo wa kupata elimu juu ya ugonjwa wa kipindupindu na leo tunafahamu madhara ya ugonjwa huo endapo mtu akibainika kuwa na kipindupindu. Afisa…

17 January 2024, 8:50 am

Mambo ya kuzingatia kuepuka kipindupindu

Jamii imekumbushwa kuendelea kunawa na maji tiririka pindi wanapotoka maliwato ili kujilinda na kujikinga na maradhi hayo. Na Yussuph Hassan.Ikiwa tunaendelea kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu, Jamii imesisitizwa kuhakikisha wanajenga na kutumia Vyoo bora ili kupekuna na ugonjwa wa…

15 January 2024, 8:28 pm

Jiji la Dodoma laendeleza jitihada za kupambana na udumavu

Tafiti hizi zinafanyika kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu sura 351 ambayo inaipa mamlaka ya Kisheria ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kufanya tafiti mbalimbali za Kitakwimu. Na Alfred Bulahya.Imeelezwa kuwa mkoa wa Dodoma bado unakabiliwa na tatizo la udumavu…

11 January 2024, 7:58 pm

Nini hupelekea mwanamke kujifungua watoto pacha.

Daktari Halima pamoja na wataalamu wengine wa afya wanawashauri akina mama kuwa na utaratibu wa kuhudhuria kliniki ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo suala hili. Na Thadei Tesha.Kufuatia hivi karibuni Mwanamke mmoja kujifungua watoto mapacha wanne katika hospitali ya Mkoa…

8 January 2024, 9:18 pm

Jamii yaendelea kusisitizwa kuwapatia watoto lishe bora

Wazazi wanashauriwa juu ya mambo ya kuzingatia katika kuandaa mchanganyiko wa lishe bora unaofaa kwa mtoto. Na Thadei Tesha.Jamii imeendelea kusisitizwa kuwapatia watoto lishe bora na kuacha kuwapa chakula kimazoea kwa lengo la kumsaidia mtoto kuwa na afya njema. Leo…