Dodoma FM

Wananchi wengi hawafahamu gharama za maji kwa lita

12 April 2023, 6:35 pm

Baadhi ya wananchi wakichota maji . Picha na Mindi Joseph.

Tayari DUWASA imeomba marekebisho ya bei za maji hadi mwaka 2026 ili kukidhi marekebisho ya miundombinu ya maji.

Na Mindi Joseph.

Kwa Mujibu wa ufuatiliaji uliofanywa na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Nishati na Maji Ewura CCC March 2023 unaonyesha kuwa wananchi wengi hawajui Gharama za maji zinazotozwa kwa lita ya ujazo.

Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wananchi Mkoani Dodoma na hapa wanaeleza changamoto inayopelekea wao kutoelewa gharama hizo.

Sauti za wananchi.

Kwa upande wake Anna Mungai kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura CCC)amesema Haya.

Sauti ya Anna Mungai toka EWURA.

Tayari DUWASA imeomba marekebisho ya bei za maji hadi mwaka 2026 ili kukidhi marekebisho ya miundombinu ya maji, kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi ili kukidhi matarajio ya Wana Dodoma.