Dodoma FM

Zifahamu dalili za Ukoma

18 April 2023, 4:49 pm

Ugonjwa wa ukoma . Picha na Kona ya Afya.

Ufahamu ugonjwa wa ukoma na dalili zake.

Ugonjwa wa ukoma huambatana na dalili mbalimbali ambapo dalili hizo huchukua muda kujitokeza na leo tukiendelea kufahamu dalili zake na Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu baada ya hapo jana kufahamu utangulizi unaoambukizwa kwa njia ya hewa.