Dodoma FM

Matambiko na siri ya maji ya kisima cha Bwibwi

22 May 2023, 3:44 pm

Chifu Lazaro Chihoma akiwa anaelezea imani yao juu ya maji haya na hapa anakunywa maji ya kisima cha Bwibwi. Picha na George John.

Nilimuuliza chifu je kisima hiki cha Bwibwi huwa na maji katika misimu yote au wakati wa kiangazi hukauka ?

Na Mariam Kasawa.

Mtazamaji wa fahari tunaenedelea kusikiliza historia ya kisima hiki cha Bwibwi kisima ambacho hadi leo bado baadhi ya watu wa himaya hii wanakiheshimu na kufanya matambiko katika eneo hili.

Chifu anaeleza ukubwa wa kisima hiki .

Hapa Chifu Lazaro anaeleza miujiza iliyokuwa inatokea katika kisima hiki baada ya kumeza watu hao 29 ikiwemo uwepo wa nyoka katika kisima hicho.

Chifu anasema maji ya kisima hiki wanayachukulia kama maji ya baraka hivyo watu wanaokuja kutambika hubeba maji haya na kwenda nayo kwa familia zao wakiamini ni kinga na baraka.

Alama maalumu zilizowekwa ili kuonesha upana na ukubwa wa kisima hicho cha Bwibwi. Picha na George John.