Dodoma FM

Je Usonji ni nini

2 May 2023, 1:43 pm

Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili ya Mirembe. Picha na Yussuph Hassan.

Je usonji ni nini na husababishwa na nini.

Na Yussuph Hassan.

Usonji ni tatizo linalojitokeza mapema utotoni, ambapo mtoto huwa na mapungufu kwa kupenda kujitenga na kutotaka kuwa karibu na watu.

Usonji ni ugonjwa unaonekana kwa watoto kuanzia mwaka mmoja na nusu na leo Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili ya Mirembe anazungumzia ugonjwa huo.