Dodoma FM

Fahamu matibabu ugonjwa wa saratani ya jicho

13 July 2023, 5:58 pm

Yafahamu matibabu na elimu inayotolewa kwa wananchi juu ya ugonjwa saratani ya jicho kwa mtoto . Picha na Yussuph Hassan.

Dkt Japhet Bright Bingwa wa Mgonjwa ya Macho kutoka Hospital ya rufaa ya Dodoma anaeleza juu ya matibabu ya ugonjwa huo.

Na Yussuph Hassan.

Leo tunazungumzia utaratibu wa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya jicho kulingana na dalili mbalimbali tukiungana na Dkt Japhet Bright Bingwa wa Mgonjwa ya Macho kutoka Hospital ya rufaa ya Dodoma.