Dodoma FM

Historia ya mtaa wa Hazina wanajivunia nini?

29 February 2024, 4:34 pm

Picha ni eneo ambalo linapatikana katika mtaa huo wa Hazina uliopo hapa Jijini Dodoma. Picha na Yussuph Hassan.

Licha ya historia ya mtaa huu mwenyekiti anaeleza vitu ambavyo wakazi wa mtaa huu wanajivunia.

Na Yussuph Hassan.

Mwandishi wetu anaendelea kuzungumza na mwenyekiti wa mtaa wa Hazina na leo anaeleza vitu mbalimbali vinavyo patikana katika mkoa huu mkongwe uliopo Jijini Dodoma