Dodoma FM

Asili ya mtaa wa Mazengo na uwepo wa kisima cha Nyoka

24 September 2026, 17:23

Picha ni mwanamke akiteka maji katika kisima hicho kinachojulikana kama Kisima cha Nyoka. Picha na Yussuph Hassan.

Mwana fahari endelea kufuatilia mfululizo wa makala hii kesho utafahamu zaidi kuhusu uwepo wa kisima cha nyoka katika mtaa wa Mazengo.

Na Yussuph Hassan.

Mtaa wa mazengo ni moja kati ya maeneo maarufu yanayo patikana katika kata ya Chang’ombe jijini Dodoma mtaa huu wenye jina la chief wa kabila la wagogo umekuwepo tangu zamani ambapo hapo awali ulikaliwa na wenyeji wa mkoa huu ambao ni wagogo.

Yussuph Hassan ametembelea katika mtaa huo na kuzungumza na mzee maarufu hapa anatusimulia zaidi kuhusu mtaa wa Mazengo.