Dodoma FM
6 November 2026, 12:59

Bennedict Ngelangela amemtembelea kijana ambae ni mnufaika wa mkopo wa asilimia 10 na kuzungumza nae aliwezaje kufuatilia na kupata mkopo huu.
Na Bennedict Ngelangela.
Mikopo ya asilimia 10, utekelezaji wake umeleta mafanikio makubwa kwa vikundi mbalimbali ambavyo vimefanikiwa kuanzisha viwanda vidogo na kupanua shughuli zao za uzalishaji baada ya kunufaika na fedha hizo.
Amesema baadhi ya vikundi vinapokea mikopo inayofikia zaidi ya Sh milioni 80 na vingine zaidi ya Sh milioni 30, hali ambayo imechangia kukuza uchumi wa wananchi na kuongeza ajira.