Dodoma FM

Nguvu iongezwe katika elimu dhidi ya ukatili kwa watoto

7 December 2023, 8:59 pm

Elimu ya ukatili kwa watoto itasaidia kuwajengea uwezo wa kutambua na kuripoti matukio ya ukatili.Picha na Dira Makini.

Bado tupo katika siku 16 za kupinga ukatili na leo tutaangazia yafuatayo.

Na Mariam Matundu.

Ikiwa bado maadhimisho ya siku 16 yanaendelea ,imeshauriwa kuwa nguvu kubwa iongozwe katika kutoa elimu ya ukatili kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kutambua na kuripoti matukio hayo.

Mariam Matundu amezungumza na Baraka Venust ambae ni mratibu wa Unesco chuo kikuu cha ST JOHN Dodoma na hapa anaeleza zaidi .