Dodoma FM

Baba atelekeza familia na kwenda kuanzisha familia nyingine

15 August 2023, 3:42 pm

Wazazi wanaombwa kushikamana katika malezi ya watoto .Picha na mwananchi.

Mama huyo anadai kuishi maisha magumu kwani  anatumia muda mwingi kutafuta kipato cha kumuwezesha yeye pamoja na watoto wake kupata mahitaji muhimu ikiwemo chakula.

Na Leonard Mwacha.

Katika hali ya kushangaza baba mmoja mkazi wa Jijini Dodoma ameitelekeza familia yake  mke na watoto wa tano na kwenda kijijini kwao na kuanzisha familia nyingine.

Leonard Mwacha amemtembelea mama huyo ambae anasimulia maisha anayopitia baada ya kutelekezwa na mume wake.