Dodoma FM

Mamlaka ya serikali mtandao eGA inatarajia kufanya kikao kazi

7 February 2023, 9:26 am

Benny Ndomba Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.Picha na Martha Mgaya

Mamlaka ya serikali mtandao eGA inatarajia kufanya kikao kazi cha 3 cha serikali mtandao kwa lengo la kuwakutanisha wadau mbalimbali wa serikali mtandao ili kujadiliana juu ya mafanikio, changamoto.

Na Alfred Bulahya.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya serikali mtandao mhandisi Benny Ndomba amesema.

Benny Ndomba.

Hata hivyo Mkurugenzi Mkuu huyo hakusita kueleza namna wananchi watakavyonufaika kupitia kikao kazi hicho.

Benny Ndomba.

Kikao kazi hicho kinatarajia kufanyika kuanzia februari 8-10 mwaka huu kikienda sambambsa na kaulimbiu isemayo Mifumo jumuishi ya tehama kwa utoaji huduma bora kwa Umma.