Radio Tadio
12 June 2026, 17:31
Mradi wa Empowered II unatarajiwa kuongeza uelewa wa haki za wafanyakazi wa majumbani, kuimarisha ulinzi wao kazini pamoja na kukuza ushirikishwaji wao katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Na Anwary Shaban. Serikali, wadau wa kazi na mashirika ya maendeleo wameendelea…
20 September 2023, 2:14 pm
Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii ESRF Tanzania inaendesha mafunzo kwa waandishi wa habari wa Radio Jamii nchini ili kusaidia katika juhudi za kuboresha huduma za afya katika jamii na isack mwashiuya Mafunzo hayo ya siku 4 yameanza rasmi…