Dodoma FM

Bado tunatazama Ushiriki wa Vijana kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa

20 March 2024, 4:50 pm

Vijana wametakiwa kujitokeza na kutumia fursa hiyo kwa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.Picha na VOA habari.

Katika kufahamu hilo ,Taswira ya habari imezungumza na Charles Ruben Afisa Miradi wa Taasisi ya DOYODO anaelezea ushiriki wa Vijana katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Na Mwandishi wetu.

Mwaka 2024 Tanzania tutashuhudia Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambapo Vijana wametakiwa kujitokeza na kutumia fursa hiyo kwa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi wa serikali za mitaa.