Radio Tadio

Siasa

13 June 2025, 17:03

Serikali kuboresha sera na sheria kwa wenye ualbino

Serikali kuendelea kuboresha sera na sheria kuhusu watu wenye ualbino nchini. Na Kadislaus Ezekiel Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mahususi kuboresha mifumo ya Kisera na sheria katika kuboresha huduma…

6 May 2025, 10:18 am

Waliolipwa Nyatwali watakiwa kuondoka

Serikali tayari imetoa bilioni 53 kwa ajili ya ulipaji wa fidia kwa wakazi hao ili kuachia maeneo hayo yawe sehemu ya hifadhi ya taifa ya Serengeti. Na Adelinus Banenwa Wananchi wa Nyatwali ambao tayari wamelipwa stahiki zao kwa utaratibu wa…

3 April 2025, 6:49 pm

Bulldozer lajeruhi watano na kubomoa nyumba 3 Geita

“Mazao, miundombinu ya umeme, vimeharibiwa na huu mtambo licha ya kujeruhi watu” – Mwananchi Na: Edga Rwenduru: Watu watano kutoka katika kaya tatu zilizopo kitongoji cha Isingilo, kata ya Lwamgasa mkoani Geita wamejeruhiwa vibaya baada ya mtambo unaotumika katika uchimbaji…

1 April 2025, 12:43 pm

ADEA yatangaza maonesho ya bidhaa za sanaa na ubunifu mkoani Mtwara

Maonesho hayo yatafanyika katika viwanja vya shule ya msingi Chikongola Manispaa ya Mtwara Mikindani ambapo bidhaa zitahusisha zilizotengenezwa katika mafunzo yaliyoratibiwa na ADEA kwa kufadhiliwa na Alwaleed na Unesco. Na Musa Mtepa Hiki ni kipindi kilichofanyika katika Studio za Jamii…

February 10, 2025, 5:40 pm

Mbaroni kwa kuiba mtoto wa siku 1 Kahama

Wanawake kuwa makini na watu wanaojitokeza kama ndugu au marafiki baada ya kujifungua kufuatia uwepo wa matukio mengi ya wizi wa watoto na kutoa rai kwa wananchi kuwa wizi wa watoto ni kosa la jinai na hatua kali za kisheria…

31 December 2024, 14:25 pm

Mila, desturi katika jando na unyago kwa watoto Mtwara

  Na Mwanahamisi Chikambu na Gregory Millanzi Jando na Unyago ni mila na desturi muhimu zinazopatikana katika jamii nyingi za Tanzania na Afrika Mashariki. Sherehe hizi za mpito ni sehemu ya mchakato wa kuwafunda vijana wanaoingia utu uzima. Jando:Sherehe hii…