Radio Tadio

Siasa

4 January 2024, 9:43 pm

Wananchi watakiwa kujitokeza kutoa maoni marekebisho ya katiba

Wadau ,wanasiasa wa vyama vya upinzani pamoja na wananchi wamekua wakitoa maoni tofouti juu marekebisho katika miswada hiyo. Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa wananchi kushiriki ipasavyo kutoa maoni na mapendekezo katika Marekebisho ya Muswada wa Sheria za uchaguzi wa…

24 December 2023, 9:47 am

Mavazi yasiyo na staha yapigwa marufuku Rungwe

Moja ya sababu iliyo tajwa kupolomoka kwa maadili ni pamoja na kuigwa kwa tamaduni za nje,hivyo jamii imeshauriwa kudumisha utamaduni wa maeneo yao. Na lennox Mwamakula Wananchi wa kijiji cha Mbaka kilichopo kata ya Kisiba wamemwomba Mbunge wa jimbo la…

19 December 2023, 19:49

Rungwe Mbeya yampokea mwenyekiti wa ccm mpya

Shangwe ya Mapokezi ya Mwenyekiti Mpya wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Patrick Mwalunenge Katika Wilaya ya Rungwe lmefana baada ya Mamia ya wakazi wa wilaya ya Rungwe kujitokeza Kumlaki. Mapokezi yamefanyika katika uwanja wa stendi ya daladala Tukuyu mjini. Mwalunge…

13 December 2023, 4:00 pm

Kinana azindua ofisi za kisasa za CCM Bukombe

Wilaya ya Bukombe imetekeleza Ilani ya chama cha mapinduzi CCM kwa kujenga ofisi za kisasa. Na Zubeda Handrish- Geita Makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abrahman Kinana, amezindua ofisi ya kisasa ya chama hicho wilayani Bukombe mkoani…

12 December 2023, 10:11 am

Wananchi wilayani Rungwe walia na mradi wa maji

Baada ya kukosekana kwa huduma ya maji katika kata ya ikuti mbunge wa jimbo la Rungwe amewaomba wananchi kuwa na subira serikali inapoendelea kutekeleza mradi wa maji wa ikuti na lyenje. Mbunge wa jimbo la Rungwe Albert Mwantona akiongea na…

11 December 2023, 12:31

Mwankenja: CHADEMA tulieni mambo mazuri yanakuja

Uchaguzi wa ndani wa chama cha demokrasia na amaendeleo CHADEMA ngazi ya kata ya Kyela mjini umefanyika na kumpata Lafaele Mwankenja kuwa menyekiti. Na James Mwakyembe. Zoezi la uchaguzi  wa ndani kuchagua viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA…

7 December 2023, 10:21 pm

Kamati ya siasa yaridhishwa utekelezaji Ilani ya CCM Karagwe

Na Eliud Henry Karagwe Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya Karagwe imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleleo na kuagiza kurekebisha kasoro ndogondogo ili kuhakikisha irani ya chama hicho ya mwaka 2020/2025 inatekelezwa ipasavyo. Hayo yamebainika…