Radio Tadio

Siasa

13 October 2025, 14:49

Kijiji chaingiwa hofu ya ushirikina mkoani Mtwara

Taharuki yatanda Magomeni Nyasi baada ya kugunduliwa kifaa kisichojulikana chenye hirizi, kinachodhaniwa kuhusika na imani za kishirikina. Wakazi wataka uchunguzi wa kina kufuatia ongezeko la matukio ya aina hiyo kijijini Na Musa Mtepa Mtwara –Wakazi wa kijiji cha Magomeni Nyasi,…

12 October 2025, 1:48 pm

TAWA yaweka mikakati kukabili wanyamapori wakali

Bw. Lusato Masinde, amesema ongezeko la migongano kati ya binadamu na wanyamapori linachangiwa na upanuzi wa makazi ya binadamu, mabadiliko ya tabianchi, pamoja na uharibifu wa mazingira ya asili ya wanyama hao. Na Catherine Msafiri Wakala wa Huduma za Wanyamapori…

8 October 2025, 5:49 am

Picha: Ajali yaua mmoja, kujeruhi wengine Geita

Licha ya elimu na jitihada mbalimbali zinazofanywa kuzuia ajali za barabarani, bado matukio ya ajali yamekuwa yakitokea na kupelekea vifo, majeruhi pamoja na uharibifu wa mali. Na: Mrisho Sadick Mtu mmoja amefariki Dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya…

3 October 2025, 12:25 pm

Elimu juu ya madhara ya mila ya ukeketaji sehemu 2

Na Adelinus Banenwa Kipindi kinahusu kutoa elimu kwa jamii inayotekeleza mila ya ukeketaji kwa akinamama na mabinti juu ya madhara ya kiafya kijamii na kimaendeleo watakayoyapata pindi wanapofanyiwa mila hiyo. Lakini pia kinaonesha umuhimu wa dhamira ya mila hizo, hivyo…

30 September 2025, 12:12 pm

Wanaomiliki nyara kinyume cha sheria watakiwa kupata vibali

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) yasema wanaomiliki nyara kama pembe, na mikia ya wanyamapori bila vibali , ni kinyume na sheria za uhifadhi . Na Catherine Msafiri, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imewataka wananchi kuhakikisha wanamiliki…

31 August 2025, 10:39

Maswa yazindua chanjo ya mifugo, DC Anney atoa maagizo

“Zoezi la chanjo ya mifugo siyo la hiari bali la lazima maana lipo kisheria na linasaidia kupunguza magonjwa ya mlipo kwa mifugo hivyo wafugaji wote muone umuhimu wa zoezi hili kwa kuipeleka mifugo yenu ikapate chanjo” DC Maswa Dkt. Vicent…

21 August 2025, 2:58 pm

Msako madereva Bajaji wavunja sheria Geita

Oparesheni hiyo ni endelevu na inalenga kulinda usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara Na Kale Chongela. Na Kale Chongela: Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita limesema halitawafumbia macho madereva wanaovunja sheria za usalama barabarani…

4 August 2025, 4:13 pm

Karakana nyingine yateketea kwa moto Geita

Matukio ya moto kuteketeza karakana yameendelea kuongezeka mkoani Geita huku sababu za matukio hayo zikiwa hazijulikani. Na Kale Chongela: Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeteketeza karakana moja ya useremala katika mtaa wa Mkoani, Kata ya Kalangalala, Manispaa ya…

24 July 2025, 2:12 pm

Moto wateketeza karakana ya useremala Geita

Majanga ya moto yameendelea kuwa mwimba mchungu kwa wajasiriamali Geita huku sababu za majanga hayo nyingi zikiwa hazijulikani. Na Mrisho Sadick: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza karakana moja ya useremala katika Mtaa wa Nyerere Road Manispaa ya Geita Mkoani…