Radio Tadio

Siasa

5 February 2024, 4:14 pm

DC Mpanda: Waliofyekewa mahindi walipwe

“Chama Cha Mapinduzi hakipo tayari kuona baadhi ya wananchi wakidhurumiwa haki zao.Picha na Deud Daud Na Festo Kinyogoto Mjumbe wa halamashauri kuu ya CCM taifa, katibu wa itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi  PAUL MAKONDA Amemuagiza mkuu wa wilaya ya…

5 February 2024, 3:49 pm

Makonda: Watendaji wazembe serikalini wanakiangusha chama

“Chama cha mapinduzi hakipo tayari kuona Wananchi wakiendelea kuteseka na kero zinzowakabili huku watendaji wa serikali wakitumia mianya hiyo kujinufaisha wenyewe bila kujali wananchi.Picha na Deus Daud Na Festo Kinyogoto Mjumbe wa halamashauri kuu ya CCM taifa, katibu itikadi uenezi…

5 February 2024, 12:23 pm

Ccm yawaonya wasiofata taratibu

Chama cha mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro kimewataka baadhi ya wanachama ambao wamekuwa wakikiuka taratibu za chama kwa kuomba kura kwa wananchi kabla ya uchaguzi kuacha mara moja. Na Elizabeth Mafie Chama cha Mapinduzi (CCM ) mkoa wa Kilimanjaro kimetoa onyo…

24 January 2024, 9:55 am

Makonda kuhutubia Manyara

wananchi Manyara wajiandaa kumpokea Makonda Na Mzidalfa Zaid Katibu wa siasa uenezi na mafunzo Ccm Taifa Paul Makonda leo anatarajia kufanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara ambapo atapokelewa na viongozi mbali pamoja na wananchi wa maeneo tofauti ya mkoa wa…

16 January 2024, 12:16 pm

Watendaji watakiwa kukaa ofisini Nyasura

Wito umetolewa kwa watendaji wa serikali za mitaa kata ya Nyasura kukaa ofisini ili kutimiza adhma ya kuwahudumia wananchi. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa watendaji wa serikali za mitaa kata ya Nyasura kukaa ofisini ili kutimiza adhma ya kuwahudumia…

11 January 2024, 10:34 am

     MAKONDA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI MANYARA

Wananchi mkoani manyara watakiwa kujitokeza kumlaki makonda na kuelezea changamoto zao Na Mzidalfa zaid Katibu wa siasa itikadi uenezi na mafunzo taifa Paul Makonda anatarajia kufanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara akitokea Mkoani  Arusha, ambapo wananchi Mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza…

8 January 2024, 16:02

Swebe: Nipo tayari, CHADEMA nitume popote nitakwenda

Baada ya kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa ndani wa chama cha demokrasia na amaendeleo wilaya ya Kyela mwenyekiti mpya wa chama hicho Victoria Swebe amesema yuko tayari kukipigania chama hicho ili kitwae jimbo katika uchaguzi ujao. Na James Mwakyembe…