Dodoma FM

Ni kawaida tembo kurudi katika usharoba waliozoea?

21 September 2023, 4:58 pm

Picha ni wakazi wa Ng’ome wakiwashangaa tembo walioingia kijijini hapo . Picha na Fahari ya Dodoma.

Kwa asili hiyo ya Tembo pale wanapokuja katika makazi ya watu kuna mbinu mbalimbali hutumika kuwakabili, mbinu ambazo huzaa matunda mara moja.

Yussuph Hassan.

Fahari ya Dodoma inaendelea kukuelezea tukio la baadhi ya maeneo yaliyovamiwa na kundi la tembo Dodoma. Victoria Erasmos afisa wanyama pori jijini Dodoma naye ni miongoni mwa waliofika katika maeneo hayo na hapa anabainisha changamoto walizokutana nazo wakati wakiendelea kuwatoa tembo hao.

Fahari ya Dodoma ikahoji juu ya tembo hao kutoacha tabia ya kurudi katika njia walizozizoea tangu awali na nini kinafanya kutoka mbugani kuja katika makazi ya watu, ?