Dodoma FM

michezo

21 December 2023, 4:23 pm

Mila, desturi zachangia kumnyima mwanamke haki ya kumiliki mali

Mila na desturi zimetajwa kuchangia kumnyima mwanamke haki ya kumiliki mali hali inayomrudisha nyuma kimaendeleo na kuchochea vitendo vya ukatili wa kijinsia . Na Mariam Matundu.Mariam Matundu amezungumza na mwanasheria kutoka Chama Chama Wanasheria Wanawake TAWLA Neema Ahmed ana anaanza…

21 September 2023, 4:58 pm

Ni kawaida tembo kurudi katika usharoba waliozoea?

Kwa asili hiyo ya Tembo pale wanapokuja katika makazi ya watu kuna mbinu mbalimbali hutumika kuwakabili, mbinu ambazo huzaa matunda mara moja. Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma inaendelea kukuelezea tukio la baadhi ya maeneo yaliyovamiwa na kundi la tembo Dodoma.…

20 September 2023, 3:29 pm

Fahamu maajabu na uvamizi wa Tembo katika vijiji

Je ni mbinu gani nzuri zinazo tumika kuwarudisha Tembo hifadhini pindi wanapo ingia katika makazi ya watu ? Na Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma leo imezungumza na Afisa wanyamapori jiji la Dodoma hapa anaeleza jinsi Tembo wanavyoingia katika vijiji na…

6 September 2023, 3:06 pm

Vilindoni shule kongwe yenye changamoto

Licha ya shule hii kuwa Kongwe lakinibado inakabiliwa na upungufu wa madawati, upungufu wa walimu na Uchakavu wa madarasa. Na Yussuph Hassan. Leo kamera ya fahari ya Fahari imegonga hodi katika kata ya Mbabala shule ya msingi Vilindoni ,shule hii…

21 August 2023, 6:15 pm

Jinsi ajira kwa watoto zinavyoathiri maisha ya mtoto

Alfred Bulahya amezungumza na binti ambaye aliajiriwa katika umri mdogo lakini mwajiri wake aliamua kumuendeleza kielimu. Na Alfred Bulahya. Ajira kwa watoto inarejelea unyonyaji wa watoto kupitia aina yoyote ya kazi ambayo inawanyima utoto wao, inaingilia uwezo wao wa kuhudhuria shule ya kawaida, na inawadhuru kiakili,…

7 August 2023, 2:20 pm

Jinsi jamii inavyopambana na ukatili wa kingono dhidi ya watoto

Familia zinaaswa kuacha kumaliza kesi hizi kifamilia kwani inakuwa haisadii mtu anae fanya vitendo hivi anaweza kufanya kwa mtu mwingine. Na Leonard Mwacha. Jamii inashauriwa kuacha kufumbia macho ukatili dhidi ya watoto hasa ukatili wa kingono kwani umekuwa ukiwaathiri zaidi…

31 July 2023, 4:53 pm

Historia ya bwawa la Hombolo

Inasemekana kuwa bwawa hilo la Hombolo lina aina mbalimbali ya samaki wakiwemo dagaa, uduvi, ningu, kambale na perege. Na Yussuph Hassan. Bado tunaenedelea kuangazia historia ya bwawa la Hombolo bwawa ambalo linapatikana katika eneo la Hombolo lililopo Jijini Dodoma .…