Dodoma FM

Nini kikwazo cha usawa wa kijinsia kwenye uongozi wa kisiasa

4 April 2024, 5:01 pm

Kwa mujibu wa takwimu kuna asilimia 37 tu ya wabunge wanawake katika bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Picha na UN.

Kutokana na hali hiyo Mariam Matundu amezungumza mtaalamu kutoka shuo cha serikali za mitaa Hombolo na ameanza kuuuliza nini kikwazo katika usawa wa kijinsia kwenye uongozi wa kisiasa.

Na Mariam Matundu.
Leo tunaangazia uongozi katika siasa ,ambapo kwa mujibu wa takwimu kuna asilimia 37 tu ya wabunge wanawake katika bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ,na kwa upande wa mkoa wa Dodoma katika majimbo yote ni jimbo moja tu ndio linaongozwa na mbunge mwanamke .