Dodoma FM

Ifahamu maana halisi ya jina Bahi

20 July 2023, 5:06 pm

Picha ni majabali makubwa yanayopatikana katika wilaya hiyo ya Bahi. Picha na Fahari ya Dodoma.

Kila jina huwa na maana au asili je jina Bahi lina maana gani na asili yake ni nini?

Na Yussuph Hassan.

Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya wilaya saba za mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007 na ina jumla ya kilometa za mraba 5,948 ikiwa na Tarafa 4, Kata 22, Vijiji 59 na vitongoji 553.