Dodoma FM

Uhaba wa maji wahatarisha usalama wa wanafunzi Vilindoni

26 September 2023, 6:00 pm

Wanafunzi wanalazimika kwenda kuchota maji katika visima kwaajili ya matumizi shuleni hapo. Picha na George John.

Na Mindi Joseph.

Ukosefu wa Maji katika shule ya msingi Vilindoni imeendelea kuhatarisha usalama wa wanafunzi.Wanafunzi wa Shule hiyo wanalazimika kubeba dumu la lita tano ya maji kutoka nyumbani wengine wakifunga safari kwenda kuchota maji katika Visima.Mwenyekiti wa kamati ya shule hiyo Amosi Makasi anaomba serikali na wadau kusaidia kutatua changamoto hiyo.

Sauti ya Bw. Amos Makasi.
Picha ni Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Vilimdoni Bi. Dorotea Mdushi akiongea na Dodoma Tv.Picha na George John.

Kwa upande wake mwalimu Mkuu wa shule hiyo Dorotea Mdushi anasema kero ya maji ni moja ya changamoto inayowakabili.

Sauti ya Bi Dorotea Mdushi.