Dodoma FM

Wizara ya Afya

23 January 2024, 8:00 pm

Aweso aitaka Duwasa kumaliza tatizo la maji UDOM

Kwa mujibu wa makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma UDOM anasema chuo hicho kinakadiriwa kuwa na wanafunzi takribani elfu 36 hivyo kuchangia ongezeko la uhitaji wa huduma ya maji katika chuo hicho. Na Thadei Tesha.Waziri wa maji mh Juma…

27 November 2023, 5:28 pm

Mradi wa maji Nzuguni wafikia asilimia 96

Hatua hii ni moja ya njia ya kukabiliana na changamoto ya maji katika jiji la Dodoma ambapo Mradi wa Maji nzuguni unatarajia kuongeza hali ya uzalishaji wa maji kwa asilimia 11 na kuwanufaisha wakazi zaidi ya Wakazi 37,929 katika kata…

19 November 2023, 11:18 am

CCM yakerwa kusuasua  miradi ya Maji Dodoma

Ikumbukwe kwamba  mwezi June mwaka huu, Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Comredi Daniel Chongolo alifanya ziara Mkoani Dodoma na kuagiza kukamilishwa haraka kwa mradi wa maji wa kata ya chali na Ibihwa lakini mpaka sasa miradi yote imesimama kutokana…

13 November 2023, 5:11 pm

DC Mpwapwa abaini upigaji pesa za watumia maji

Sera ya Maji ina inasisitiza miradi ijengwe, iendeshwe na kusimamiwa na wananchi ili ijiendeshe kwa kufanyaa matengenezo kila inapohitajika bila kutegemea ruzuku kutoka serikalini. Na seleman Kodima. Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa imeamua kuziunganisha jumuiya za watumia maji (CBWSO) badala…

2 November 2023, 11:51 am

Mkuu wa wilaya Kongwa awabana watendaji wa maji Mtanana

Hivi karibuni kikao hicho kilifanyika katika kata ya mtanana hii ni baada ya  kubaini uwepo wa harufu ya Ubadhilifu wa Mapato yanayokusanywa kupitia Miradi ya Maji katika Kata hiyo hali iliyopelekea kushamiri kwa matumizi ya fedha mbichi. Na Mariam Kasawa.…

16 October 2023, 6:44 pm

Wakazi wa Handali walalamika kukosa maji safi na salama

Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wapo kwenye mpango wa bajeti katika  kuhakikisha miundombinu ya maji katika kijiji cha Handali inafufuliwa. Na Mindi Joseph. Kusimama kwa Mradi wa Maji unaogharimu zaidi ya Milioni 600 katika kijiji cha…

26 September 2023, 6:00 pm

Uhaba wa maji wahatarisha usalama wa wanafunzi Vilindoni

Na Mindi Joseph. Ukosefu wa Maji katika shule ya msingi Vilindoni imeendelea kuhatarisha usalama wa wanafunzi.Wanafunzi wa Shule hiyo wanalazimika kubeba dumu la lita tano ya maji kutoka nyumbani wengine wakifunga safari kwenda kuchota maji katika Visima.Mwenyekiti wa kamati ya…