Dodoma FM

Mwili Wa Hayati Dkt. John Magufuli wawasili Jijini Mwanza

24 March 2021, 6:21 am

Na; Mariam Kasawa.

Wakazi  wa jiji la Mwanza na maeneo ya jirani  tayari  wamewasili katika uwanja wa CCM Kirumba  kwa ajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki Dunia Machi 17,2021 Jijini Dar es salaam .

Vilio vyatawala tukio la kumuaga Hayati Dkt. John Pombe Magufuli jijini Mwanza wananchi washindwa kuyazuia machozi.