Dodoma FM

Je ni sahihi wasichana walio chini ya umri wa miaka 18 kutumia uzazi wa mpango?

15 April 2021, 5:43 am

Na; Zania Miraji

Karibu katika makala ya Amua inayokujia kila siku ya jumapili.

tumezungumza na wadau mbalimbali ikiwa ni sahihi wasichana walio na umri mdogo kutumia njia za uzazi wa mpango ambapo wengi wameshauri kuwa ni vyema wakafundishwa elimu ya Afya ya Uzazi itawasaidia zaidi kujiepusha na ngono zembe.