Dodoma FM
29 October 2026, 17:37

Bennedict Ngelangela amezungumza na Michael Salali kuhusu umuhimu wa matumizi ya Tehama kwa watu wenye ulemavu.
Na Bennedict Ngelangela.
katika zama za maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji ni nyenzo muhimu itakayorahisisha utoaji elimu bora kwa ufanisi hasa kwa watu wenye ulemavu.