Uwezeshaji wa watu wenye ulemavu ni hatua muhimu katika kuwakomboa kiuchumi
22 October 2026, 16:23

kupitia Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 zinaonyesha kuwa asilimia 11.2 ya watanzania wenye umri kati ya miaka 7 na zaidi wanaishi na aina fulani ya ulemavu.
Na Lilian Leopold.
Uwezeshaji wa watu wenye ulemavu nchini umetajwa kuwa hatua muhimu ya kuwakomboa kiuchumi watu wenye ulemavu kupitia fursa mbalimbali za mikopo hususani inayotolewa kutokana na mapato ya asilimia 10 ya halmashauri.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kupitia Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 zinaonyesha kuwa asilimia 11.2 ya watanzania wenye umri kati ya miaka 7 na zaidi wanaishi na aina fulani ya ulemavu.
Mwandishi wetu Lilian Leopold amefanya mahojiano na Mkurugenzi wa Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope Michael Salali, anaeleza kwa kina jinsi ambavyo taasisi hiyo inavyoshirikiana na wadau kuwawezesha watu wenye ulemavu kujikwamua kiuchumi na kuondokana na utegemezi.